NAMPENDA Mume Wangu Lakini Haniridhishi Tukiwa Faragha

 

Nampenda sana mume wangu lakini nimeboreka nae! in the bedroom ndio hata usiseme! yaani hata nikikaa mwezi hatujakutana siku ikitokea mechi najua kabisa anaanzia wapi atafanya nini, hayuko creative kabisa.

Najaribu kufanya changes try new positions ila yeye wala. Inaniboa! yaani I can only dream mechi za stori za sinema za x hahaha! ana mashine nzuri lakini utaalam ziro. mpaka nimenunua kitabu flani cha positions hakya nani.

Hayo yote sijawahi kucheat…ivi kuna unyago for men? nakiri kwa kweli niko shy kidogo kumpa somo, jinsi ya kuhandle mwanamke. nifanyeje?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *