Hamisa Amtangaza Mpenzi Wake Rasmi

Pamoja na kwamba kumekuwa na picha na video mbalimbali katika mitandao ya kijamii zilizokuwa zikimuoyesha mwanadada Hamisa Mobeto akiwa na mwanaume wake, sasa ameamua kubwaga manyanga chini na kuamua kumutambulisha wazi kabisa kuwa yule ndio mpenzi wake.

Hamisa Mobeto ambae alikuwa katika mahusiano na diamond kwa muda mrefu ameamua kuweka katika mitadano ya kijamii kupitia ukurasa wake wa instagram na kuandika caption iliyoashiria kuwa kwa sasa ameamua kujiweka hapo.

Kwa sasa hii mwanadada huyo bado yuko nchini Marekani ambap alikwenda kwenye tour na msanii Christian Bella.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *