Wanaume Masikini na Wasiojiamini Wanaongoza Kutongoza kwa Meseji Nyingi Halafu Ndefu

Nimekaa sehemu leo napata lunch, mara dada mmoja mrembo aliyekuwa karibu yangu “kareact”, “mameseji kibao halafu marefu, hayaeleweki.
Unanijazia tu inbox, utakuwa masikini tu wewe halafu hujiamini”.Dah, nilishtuka sana. Baada ya dakika kama 2 hivi..
nikamuuliza dada yangu mbona hasira sana, kwa nini.
Akanijibu “kuna jianaume linanijazia tu inbox, linatuma messages nyingi, ndefu halafu halieleweki, wiki ya pili sasa, mie ananiudhi!”

Nikamwuuliza “mbona unasema atakuwa masikini,akajibu “mtu mwenye hela zake na anayejiamini atahangaika kutuma mameseji kibao, marefu ambayo hata hayaeleweki.”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *